Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, May 14, 2013

KCU YASHUSHA BEI YA KAHAWA KWA MSIMU HUU




Mkuu wa wilaya ya Bukoba Zimpora Pangani akifungua mkutano mkuu wa makisio wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU
 

Mwenyekiti wa bodi ya KCU akisoma taarifa ya makisio ya bei ya kahawa wakati wa mkutano mkuu.



Wajumbe wa mkutano mkuu wa makisio wa  chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU wakifuatilia majadiliano.
 


  Wajumbe wa mkutano mkuu wa makisio wa  chama kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU  wakifuatilia taarifa ya makisio ya bei ya kahawa kwa msimu wa mwaka 2013/14

Baadhi wa watendaji wa KCU na wageni waalikwa wakifuatilia mkutano mkuu wa makisio kwa msimu wa mwaka 2013/2014
 

Na Livinus Feruzi
Bukoba.

CHAMA kikuu wa ushirika mkoa wa Kagera (KCU) kimetangaza bei ya kahawa kwa msimu wa mwaka 2013/14, ambapo bei hizo zimepungua kulinganisha na msimu uliopita.

Msimu uliopita bei ya awali kwa ilikuwa shilingi 1,350 kwa kilo moja ya kahawa aina ya Robusta maganda, ambapo baadae katikati mwa msimu bei ilishuka hadi shilingi 1,100, huku
Arabica maganda ilishuka hadi kufikia shilingi 1,300.

Bei kwa msimu huu ni kama ifuatavyo.

No comments:

Post a Comment