Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Thursday, May 16, 2013

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA


Meya wa manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani na mkurugenzi wa manispaa hiyo Trazias Kagenzi wakati wa kikao cha baraza la madiwani ambacho ni kwa ajili ya kuwasilisha na kujadili  taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kata, kwa siku za hivi karibuni vikao vya baraza la madiwani katika manispaa hiyo vimekuwa havifanyiki kutokana na mgogoro wa kisiasa.


Baadhi ya madiwani wakifuatilia kikao cha baraza la madiwani


Sehemu ya madiwani wa manispaa ya Bukoba wakiwa katika mkutano wa baraza, baadhi ya madiwani wamekuwa wakigoma kuhudhuria vikao hivyo na kusababisha orodha ya wajumbe wanaotakiwa kisheria kutotimia.


Baadhi ya watendaji wa halmashauri na wageni waalikwa wakati wa kikao cha baraza la madiwani


No comments:

Post a Comment