Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Sunday, May 5, 2013

KAGERA AMANI NA MAENDELEO........


Hali ya stendi kuu ya mabasi ya mkoa wa Kagera huu ndio mwonekano wake, mbali na ufunyu wake wakati wa mvua stendi hii haitamanini pamoja na historia ya mkoa wa Kagera. 
Magari yote yaendayo mikoani na wilayani yanapaki katika stendi hii wageni wote kutoka ndani na nje ya nchi wanafikia hapoa, ingawa ni aibu mkoa wa Kagera kuwa na stendi ya aina hii lakini hakuna jinsi.


No comments:

Post a Comment