Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, May 21, 2013

BREAKING NEWS

 Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. taarifa zilizopatikana zinasema kuwa msanii huyo maarufu hapa nchini amekabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.
Profesa JAY na SUGU baada ya kukabidhiwa kadi ya CHADEMA mjini DodomaProfesa JAY katikati na akionyesha kadi ya CHADEMA kwa hisani ya jamiiforums 

No comments:

Post a Comment