Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Tuesday, May 28, 2013

KONGAMANO LA WADAU WA ELIMU



Mkurugenzi mtendaji wa halamshauri ya wilaya ya Muleba Bi. Oliver Vavunge akizungumza wakati akifungua kongamano la wadau wa elimu wilaya ya Muleba ambalo lililenga kujadili changamoto zinazokabili sekta ya elimu na kupelekea  kushuka kwa kiwango cha ufaulu.
 


Mwanafunzi wa darasa la sita akielezea changamoto zinazowakabili wakiwa shuleni na kupelekea kushindwa kufanya vizuri kwenye masomo yao.
 


Baadhi yawadau wa elimu wakifuatilia mada na michango kutoka kwa viongozi mbalimbali wa elimu.
 

No comments:

Post a Comment