Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Monday, May 20, 2013

BUKOBA LEO



Bukoba nako sio haba, mwonekano wa mjini Bukoba leo hapa ni katika barabara ya Tupendane karibu na soko kuu la Bukoba. pilikapilika za hapa na pale ndio kawaida kwetu
 

Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi. Zimpora Pangani akibadilishana mawazo na afisa usafi wa manispaa ya Bukoba Ladslaus Oisso nje ya jengo la ofisi ya halmashauri ya manispaa ya Bukoba.


No comments:

Post a Comment