Matangazo yanakaribishwa katika blog hii,piga simu no 0753 239 687 Email-livinusferuzi@yahoo.com

Wednesday, May 8, 2013

BUKOBA OYEEEE......., NDIZI SAFI!................

 Hapa ni ndizi mbele kwa mbele. ni katika kata ya Buhembe manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera

Mikungu ya ndizi ikiwa imekusanywa tayari kusafirishwa kwenda sehemu mbalimbali kwa ajili ya kupata soko, hata hivyo ndizi ambazo ndio lilikuwa zao kuu la chakula kwa wakazi mkoa wa Kagera kwa sasa uzalishaji wake umepungua huku bei yake zikipanda mara dufu  kutokana na migomba kuathiriwa na mnayuko.


No comments:

Post a Comment